Wema Sepetu: Ni kweli nipo na Diamond

Wema Sepetu: Ni kweli nipo na Diamond

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,319
Reaction score
3,432
Mwanadada Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006 ambaye kwa sasa anaendesha kampuni yake binafsi iitwayo Endless Fame inayojishughulisha zaidi na utengenezaji wa Filamu mbalimbali.

Kupitia kipindi cha Leo tena February 28 Wema Sepetu amekubali kutaja sifa za mwanaume anayempenda kuwa na mvuto kwake,swali lililoulizwa na Watangazaji wa kipindi hicho ni kuhusu mwanaume wa sifa gani anayedhani anaweza kuolewa nae ambapo Wema alijibu "Kuolewa sio shida je huyo mwanaume nampenda,maana naweza kuja kuchumbiwa lakini nisimpende"

"Mimi nampenda Mwanaume mweusi,wanaume weupe sio kwamba sijawahi kuwa nao lakini nakuwa sina mzuka nao".Alipoulizwa kuhusu uhusiano wake na Diamond amekiri kwa kusema'Kweli niko na Nasib - Diamond na nadhani muda huu kutakua na utulivu ndani yake,ule utoto tuliokua tunafanya nadhani ulikua utoto na imekua Power Couple toka mwaka 2010 kwa hiyo tuna ni miaka 4 sasa,kwa sasa tumeamua kuwa serious'.
 
Kule kuvalishana pete si walikua wanajaribu kutudhibitishia walivyo serious....then??????

Come on wema jasiri haachi asili
 
Huyu changudoa aliyekubuhu hivi mpaka leo watu wana-mmaindi?

Huyu hana class kabisa. Kama kungekuwa na kitu kinachoitwa "Bongo-trash", basi huyu angekuwa primadonna wa hii genre. Its fcuking mind-numbing to read day-in, day-out kila sehemu kukutana na habari na picha za huyu malaya na yule talent-less attention-craving fag Domond.
 
wewe una jambo/chuki binafsi na hawa jamaa_sio bure
 
Huyu changudoa aliyekubuhu hivi mpaka leo watu wana-mmaindi?

Huyu hana class kabisa. Kama kungekuwa na kitu kinachoitwa "Bongo-trash", basi huyu angekuwa primadonna wa hii genre. Its fcuking mind-numbing to read day-in, day-out kila sehemu kukutana na habari na picha za huyu malaya na yule talent-less attention-craving fag Domond.

Samahani, wewe Ni WA jinsia gani? Ke au me? Kama ke' alishakuchukulia bwana ako? Kama me' ulishalala nae Mara ngapi na alikuchaji sh.ngapi?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Sasa hapo ndiyo umelonga nini? Takataka tupu! Matter of fact, you stink kama huyo malaya na kibwana chake. *** you! Biyaaatch!
 
Ha ha haaaa!. Umelipata, limekuingia, linakunyevuanyevua..!. Mie sina la zaidi..! Alamsik..!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Umaarufu wa kulazimisha? Kila kukicha, people have to contend with the latest vulgarities from these two shitty-ass low-lives.
 
Diamond hastahili kuwa na Wema coz anakuwaga anamtumia tu pindi umaarufu wake ukishuka

Wema nae hajielewi
 
Utoto kuisha hao hata wakizeeka hautaishaa,!!!!!
 
Mwanadada Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006 ambaye kwa sasa anaendesha kampuni yake binafsi iitwayo Endless Fame inayojishughulisha zaidi na utengenezaji wa Filamu mbalimbali.

wema6+%281%29.JPG

Kupitia kipindi cha Leo tena February 28 Wema Sepetu amekubali kutaja sifa za mwanaume anayempenda kuwa na mvuto kwake,swali lililoulizwa na Watangazaji wa kipindi hicho ni kuhusu mwanaume wa sifa gani anayedhani anaweza kuolewa nae ambapo Wema alijibu "Kuolewa sio shida je huyo mwanaume nampenda,maana naweza kuja kuchumbiwa lakini nisimpende"

"Mimi nampenda Mwanaume mweusi,wanaume weupe sio kwamba sijawahi kuwa nao lakini nakuwa sina mzuka nao".
Alipoulizwa kuhusu uhusiano wake na Diamond amekiri kwa kusema'Kweli niko na Nasib - Diamond na nadhani muda huu kutakua na utulivu ndani yake,ule utoto tuliokua tunafanya nadhani ulikua utoto na imekua Power Couple toka mwaka 2010 kwa hiyo tuna ni miaka 4 sasa,kwa sasa tumeamua kuwa serious'.

Wema Sepetu pia kaandamana na Aunty Ezekiel kwenye interview ya kipindi hicho kinachorushwa na Clouds Fm.
 
Back
Top Bottom