shinji JF-Expert Member Joined Aug 31, 2013 Posts 263 Reaction score 185 Feb 27, 2014 #1 WanaJF. Yeyote mwenye wimbo huu atupie link yake au ani PM shukuran daktar wetu, pamoja matabibu wote, kaz yenu ni ya huruma, wagonjwa mwawapokelea, wakiwah mnawapa dawa, mola yupo wagonjwa wanapona, kweli wagonjwa wanapona.
WanaJF. Yeyote mwenye wimbo huu atupie link yake au ani PM shukuran daktar wetu, pamoja matabibu wote, kaz yenu ni ya huruma, wagonjwa mwawapokelea, wakiwah mnawapa dawa, mola yupo wagonjwa wanapona, kweli wagonjwa wanapona.
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,447 Feb 27, 2014 #2 Wauguzi,wauguzi,daktari na manesi wauguzi, taratibu jamani haya,tutaonana wabaya haya.
Chachu Ombara JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 6,306 Reaction score 11,687 Feb 27, 2014 #3 Wagosi wa Kaya - Wauguzi | Muziki.net
TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,649 Reaction score 1,128 Feb 27, 2014 #4 hii kitu haieleweki au mimi ndo sijaelewa?
Infopaedia JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 1,231 Reaction score 1,496 Feb 27, 2014 #5 Nimeingia inbox ya mtu nini!!!!! mbona chenga. Hebu ngojea ni-log nje halafu nianze tena ku-log ndani.
Nimeingia inbox ya mtu nini!!!!! mbona chenga. Hebu ngojea ni-log nje halafu nianze tena ku-log ndani.
VANCOUVER JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 336 Reaction score 20 Feb 27, 2014 #6 ulikua na maana gani, embu tujuze wana JF vizuri maana hueleweki.
Bakari Shemngodo JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 269 Reaction score 40 Mar 1, 2014 #7 Husomeki Mkuu.