Nimejitahiid kutune station zote toka SAA tano asubuh hadi sasa naona unaz cjaona hata kipind cha maana cjui ni mchana tuu mbona usku kdogo afadhal arrrgghh ngoja nizime nijliwaze na Jf ...maana...
John depp ni noumaa aisee uyu m2 napenda mambo yake ya kichiz yan kama ktk muvi ya pirates of carribean kama sparrow ila nmemkubal zaid ktk behind the scene ktk muv ya rango.
Wadau mimi binafsi napenda sana nyimbo hizi:
ukimwona by Diamond
kuchapiwa siri ya ndan by Ommy D..
Naomba kujua ni wapi naweza download beat za nyimbo hizi?
WADAU,
Kuna hii ngoma uwa inapigwa sana kwenye maeneo ya starehe inaenda na radha ya kukata mauno...yani ndio uibwa hivyo...kiuno kiuno...nimetry kuicheck youtube sijapata matokeo...so nadhani...
Inaudhi sana kuona wasanii wengi siku hizi wameanza mtindo wa kuiga dialect (lahaja) ya kinaijeria katika uandishi wao... mf. "I no de lie", "u go make me crazy" sasa hii maana yake nini? Kwani...
Nawatakia jumapili njema wadau wote wa JF, Mnaoenda kanisani na tunaobaki home wote tuwe na siku njema. Leo nimeona nishee na nyinyi huu wimbo wa kikundi cha Pentatonix royals, mbarikiwe wotee...
Terms and Conditions Apply ni documentary inayoonyesha jinsi mashirika makubwa ya usalama jinsi yanavyotumia internet na simu, mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter, Google na nyinginezo...
Jana wakati akihojiwa na BBC aliyasema hayo.
Baada ya mtangazaji kumwambia kuwa amepokea maoni mengi kutoka kwenye mitandao ya kijamii, kuwa wengi wanaiponda taarabu ya sasa ukilinganisha na ya...
Dar es Salaam. Word has it that Lady Jay Dee is seeking a divorce from her husband and manager, Gadner G Habash.
According to recent reports that have since been...
Nitumie muda kidogo kutoa darsa kwa wadau wa tasnia ya filamu hususani Screenwriters, Producers and Directors. Mada ninayotaka kuzungumza ni namna ya utoaji wa Part I and Part II ya movies zetu...
Siku hizi watu hawapendi kufanya kazi wanakua wajinga nakutaka pesa bila kazi
Na huyu alioandika barua ya kumuita at mahakamani nahisi ni chizi
Hivi ukiitwa mahakamani kwa kesi ya madai unaambiwa...
KAMA kuna ujinga wanaoweza kuufanya wasanii wetu hapa nchini, basi ni kuwapoteza mashabiki wao kwa kujaribu kuwagawa kwa misingi ya itikadi za kisiasa n.k.
Pamoja na ukweli kwamba siasa...
Siku kadhaa zilizopita kumekuwa na taarifa kuhusu kufungiwa kwa video ya Nimevurugwa ya Snura,taaarifa hizi alizi-amplify meneja wake Snura Hk akidai kuwa sababu maalum bado hawajazipata...
kwa watembezi wa Kenya hasa jiji la Nairobi ni mashuhuda wa hili, yani kila kona kuna vibanda vinavyouza cd, na dvd za wasanii wa bongo si bongo fleva wala gospel, yani utafikiri uko kariakoo
hv...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.