R n B inakufa, nani ataiokoa?

R n B inakufa, nani ataiokoa?

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,217
kuzeeka kwa celine dion,r.kelly,shania twain,kupotea kwa neyo,briten spears.mary j.pink,usher,back stree boy.boyz t men, ncyinc.kuvunjika kwa west life na n.k [walipotea/kufa/kuzeeka] kumeshusha huu mziki pendwa duniani.tusubiri kuuzika rasm.
 
Kama inavyokufa ccm,nani wa kuiokoa?
 
hivi unaujua mziki wewe? Celine dion alikuwa anaimba r&b?
 
Ivi unajua R n' B ipo kabla ya hao uliowataja watakufa hao ila muziki utaendelea kuwepo sina hakika umefikiria kutumia akili ipi.
 
Sema mziki huu umeshuka umaarufu wake sio kama zamani
 
Ivi unajua R n' B ipo kabla ya hao uliowataja watakufa hao ila muziki utaendelea kuwepo sina hakika umefikiria kutumia akili ipi.

kuna akili zip?.nazungumzia hakuna kizazi kipya kilicho ibuka kuimba aina hii.
 
Hapa kwetu tangu aondoke mr paul ndo kimyaaaa,wamebaki wabana pua.
 
Tatizo lako umekalia sana huko kwenye ubishi wa Chadema na CCM. Ungelikuwa unafuatilia basi ungelifahamu kuwa R&B ndiyo imeanza kufufuka kwa nguvu sana.

Kuna nyimbo kadhaa mpya ambazo wanamuziki wake pia ni wapya na zimetamba sana kwenye Chart za Billboards na nchi nyingine nyingi duniani.

Wale f. Rihanna - Bad (Remix) [Official Audio] - YouTube

Wale Ft. Tiara Thomas -Bad (Official Video) - YouTube

Beyoncé - Drunk in Love (Explicit) ft. JAY Z - YouTube

Beyoncé - Love On Top - YouTube

Justin Timberlake - Mirrors - YouTube

Justin Timberlake - Suit & Tie (Official) ft. JAY Z - YouTube

Robin Thicke - Blurred Lines ft. T.I., Pharrell - YouTube
 
"Grammys 2014: Alicia Keys' 'Girl on Fire' wins best R&B album" - http://articles.latimes.com/2014/jan/26/entertainment/la-et-ms-grammys-2014-r-and-b-album
 
Ila umechanganya sana kati ya POP na R&B. Pia wanamuziki wengine hapa umewaleta siyo mahali pake kabisa.

Sasa utamletaje SHANIA TWAIN hapa wakati huyu Mdada ni muimba wa HONK TONK aka "the ring of fire"

Kama huamini hebu angalia huu wimbo na useme kama siyo PURE COUNTRY......

kuzeeka kwa celine dion,r.kelly,shania twain,kupotea kwa neyo,briten spears.mary j.pink,usher,back stree boy.boyz t men, ncyinc.kuvunjika kwa west life na n.k [walipotea/kufa/kuzeeka] kumeshusha huu mziki pendwa duniani.tusubiri kuuzika rasm.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom