Nikki wa Pili & Joh Makini - Bei ya Mkaa [LYRICS]

Nikki wa Pili & Joh Makini - Bei ya Mkaa [LYRICS]

SHOOyaKIBABE

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
2,182
Reaction score
1,717
[Joh Makini]
Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know my *steelow
(Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo)
Ta..ta..tatizo ni bei...(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei
Tatizo ni bei...(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei..ya mkaa!

[Nikki Wa Pili]
Inabidi waka honge promo
Na ka ligi haka si ndo somo
Wanawivu mpaka umevuka ukomo
Wamezidi wanachonga domo
Zidi ya, Weusi wale ni watu wa media
In deed yah!
Mziki naofanya hii ni ligi ya..
..mainstream ni ubepali cheki Libya
Syria..si mkali u-maintain kwa superior
Creativity...credibility
Capability ndo speed ya hii sekta
Serekalini wanaspid ya trekta
Mshahara ule ule kila mwezi haumati
Wakati biashara ina mwezi wa kismati
Ukiwa smart ni game kulipa vat
Kwanza lipia pango na frame ya mzee Kimati
Na haina kiinua mgongo ni ku-maintain peak
Mpaka uzeeni ka vile King Kikii
Sina ki..ki kuwapa kimziki
Kama Bi. Kidude kifo changu ndio 'pic
(Wa pili Nikki)

Okay!

[Joh Makini]
Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know my steelow
(Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know my steelow)
Tatizo ni bei...(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei
Tatizo ni bei...(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei..

I'm killin' em!

Magari yanawakia maskani bila starter
Mtihani wa kabwela menyu inayofata
Ukombozi ni maamuzi play smarter
Ghetto pia ni shule na somo alikua papa
Bei ya mkaa, mafuta ya taa na ukapa
Kama huongezi hela zangu chapa lapa
Siwaamini vidampa, mkumbo sijafata
Forever young hapa, kitaaluma rapper
Papa Saigon shout out mazee
Papa Mungu niongezee
Iwe pah pah mkubwa niwale mapedeshee
Kwa mapaparazi rushwa isiendelee
Maktaba shazi wengi wakajisomee
Pah pah..pisto yangu nisiwabebee
Papa Frans wakristo utuombee
Papa watasnia atulegezee
Puff puff moshi ngada wasintembezee
Wanasafisha hela nchini mapedeshee
Mjini kuwalipia video mayedebe
Yebebe..yebebee
Ule ndo mtaji wa dume Anti Dedee
Anti Dedee..Anti Dedee
(Hehehee...nimepiga freestyle..)

Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know my steelow
(Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know my steelow)
Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know my steelow
(Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know my steelow)
Tatizo ni bei...(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei
Tatizo ni bei...(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei..

Clap clap!
Clap clap!
Yehh!
Tatizo ni bei...(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei
Tatizo ni bei...(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei..(ya mkaa)
Bei..
Yeahhh..!!
 
Hawa jamaa nawakubali sana, kama ni hip hop kweli wanaitendea haki
 
Back
Top Bottom