Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wadau mimi kwa majina ni Matendo Andrew ni Gospel singer.lakini hapa nimekuja kama Manager wa Matendo Andrew. nahitaji mtu au kampuni nifanye nayo kazi, kazi ni hii hapa. nimesha record album...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=KRaWnd3LJfs&list=RDKRaWnd3LJfs Nawakubali sana.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna jambo la kipuuzi ambalo kama mwananchi mzalendo inabidi kulifikiri nikawaza ivi jaydee akipata nafasi ya kwenda kuwakilisha Nchi Clouds hamtatangaza? Acheni wivu wa kurudisha maendeleo nyuma...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Enzi hizo hawa ndo walikuwa mavideo kwini bhana......nakumbukia tu https://www.youtube.com/watch?v=CE0HCm_w5Kc
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi naombeni kupata habari za msanii wa komedi aliyekuwa anaitwa Vengu, alikuwa mgonjwa, je yupo wapi? Au bado anaugua? Mbona wadau hatuna feedback?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiukweli radio ya watu .....Claus FM wamekuja na name jambo zuri sana la kuhamasisha uzalendo. Kea imani yangu najua Kuwa huu ndio muarobaini kukuza uzalendo ..that's role of media indeed.. Keep...
0 Reactions
1 Replies
798 Views
Uyo dogo chalii wa chuga(Douglas msalu ) amepoa sana. Anatuaibisha wa kaskazini aisee
0 Reactions
1 Replies
1K Views
It seems like a lot of people are catching up on this summer's movies. These 10 films, all released in summer 2013, were the most pirated movies using BitTorrent software last week, according to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Oyii hiphop juu.. Mmemuona mwana wa x-plastaz gsan anadondosha mistari ya kiswahili kwenye bet free stlye, pembeni machizi kibao tu wanafurahi, krs one anafurahia sana... Dah. Niliona kama niko...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau nimepata wazo kwa sisi wenye mapenzi na nyimbo za miaka ya nyuma tuunde ushirika wetu kwa kusaidiana nyimbo hizo.najua weng pia wamekuwa wakipata shida wapi pa kuzipata kutokana na kuwa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Jide aliamua kutoa wosia wake leo kupitia blog yake, uusome hapa: Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Besides making impeccable music, Diamond is fast becoming the Tanzanian king of controversy. Despite initial rumors that Diamond had rented a Toyota Land Cruiser V8 (which is believed to be among...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Najribu kuimba kidogo atakaeutambua wimbo huuunaitwaje na msanii wake anisaidie niutafute Baadhi ya Verse zake ni "Nilikuwa na mpenzi angu, tulipendana sana jamani, alibahatika kwenda ng'ambo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
BEAUTY, MUSCLE AND BRAINS
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Habari wana JF jamani me nimpenzi sana wa nyimbo za kihindi na tatizo ni kwamba sijui web gani naweza kudownload please jamani kama kuna mdau anajua anisaidie kwa hili. asante
0 Reactions
6 Replies
45K Views
Vaa earphones usikie vizuuuuuuriiiiii.
11 Reactions
31 Replies
3K Views
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwanini hawa mabingwa wa burudani hawana kipindi cha rock? ukizingatia rock unaweza kuwa mziki unaoongoza kwa kupendwa duniani. ukiangalia mauzo na grammy awards huu mziki unaongoza. najua...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom