Msamiati
R I P
- Mar 6, 2011
- 1,063
- 700
Great thinkers hapa mtaani kwetu kuna Mipesa balaa Real super tallented young Boyz lakini mifumo inawakandamiza
mimi roho inaniuma sana kuona vijana wenzangu wenye vipaji vinavyoweza kuwafanya wakawa mamilionea wanazeekea mtaani wanauza mihogo Naumia sana lakini kabla sijafa nitakuwa nimefanya kitu may be naweza kutoa mchango wangu
Ok nilichanga changa vimshahara vyangu nikajaribu kumpush angalau huyu mmoja anaitwa sylabus jina lake la sanaa au mbwana rashidi, Simfagilii lakini amini usiamini unapomzungumzia mpalala sahau kuhusu barnaba sahau amini, yaani jamaa akipata studio nzuri ni kati ya vijana wenye vipaji vikubwa sana hapa tz. Nilimpeleka studio uchwara hukuhuku vichochoroni nikajikaba tukapiga video. Hebu jaribuni kutizama wenyewe then mtushauri tufanyaje
japo kuwa wapo wakali zaidi yake huku kwetu.

Last edited by a moderator: