Fox Cancels Almost Human......

Fox Cancels Almost Human......

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
17,572
Reaction score
27,344
th


Kwa wale ambao walikuwa wanafatilia hii series au kama ulikuwa unapanga kuiangalia bad News ni kwamba haitakuwa renewed kwa season ya pili..., TV Network Fox imei-cancel kwahio kama utaangalia usishangae mwisho wa siku unamaliza kuangalia Season yote na unabaki na maswali mengi kutokujibiwa. Hili ni tatizo kubwa sana kwa Series nyingi kuwa cancelled kabla hawajamalizia story.. (ila siku hizi its all about money..) kama series viewers wakishuka au wakiwa wachache kuliko walivyotegemea series inakuwa cancelled, wakiwa wengi kuliko walivyodhani mwanzo series inarefushwa zaidi ya walivyopanga hence kupoteza muelekeo (refer The Mentalist, this last Season)

Baadhi ya Tv Shows nyingine zilizoshawahi kuwa Cancelled bila wenyewe kupanga kuzimaliza..
Jericho (ila hii uzuri waliambiwa wanakuwa cancelled kwahio wakamalizia story)
V (2009) hii ilikuwa cancelled hata story haijaisha
Fringe (hii waliambiwa kwahio wakamalizia story haraka haraka
Rome (hii walimalizia lakini ingeweza kuendelea)
Leverage
Life (hii ingeweza kuendelea walimaliza haraka haraka)
Flashforwad (hii walicancel story haikumaliziwa)
The Event (cancelled kabla ya hitimisho)
Day Break (cancelled lakini walimalizia story)
 
Back
Top Bottom