Tamthiliya ya Her mothers daughter

stable woman

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
3,839
2,000
Wadau mi mwenzenu ni mpnz kweli wa hii tamthiliya sasa yeyote anaefahamu nini kimetokea hadi hairushwi tena hewani star tv? Naomba kujua tafadhali
 

Valentina

JF-Expert Member
Oct 12, 2013
20,925
2,000
Wanaboa sana hawa watu,wanatuonjesha utam then wanakatisha gafla...
 

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,211
2,000
Zamani nilikuwa nafuatilia tamthiliya za Star TV, wakaniboa mara moja; nikaachana nao! Waliponza kurusha Her Mothers Daughters, nikaamua kuwafuatilia tena...kabla hatujafika mbali, washaniboa again! Hawa jamaa sijui huwa wanarusha bila makubaliano, wakishtukiwa ndo wanaanza ku-bargain au sijui vp!! Last week, walidaganya kkwamba wange-resume this week; lakini bado hamna kitu!
 

stable woman

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
3,839
2,000
Jamani naomba updates jana sijaangalia umeme wamekata maana tamthiliya hii imechukua kweli akili yangu
 

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,136
2,000
Wanaboa sana hawa watu,wanatuonjesha utam then wanakatisha gafla...

.
Mimi hiyo ntaimalizia kwa muda wake
mpaka nitakapo maliza MY ETERNAL episodes zote 203
.
Mana star Tv wamejifanya wajanja hawajafika mpaka episode ya 203
.
 

stable woman

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
3,839
2,000
.

Mimi hiyo ntaimalizia kwa muda wake

mpaka nitakapo maliza MY ETERNAL episodes zote 203

.

Mana star Tv wamejifanya wajanja hawajafika mpaka episode ya 203

.
kwahiyo hawa kumbe wanakatisha baadhi ya episode?? Unaziangalizia wapi ndugu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom