Still Gere ni neno la kike kike !
Still Gere ni neno la kike kike !
truuue..Ingekuwa jina sio ishu ! Basi wengi wangetoa track bila majina !
Ungekuwa unaelewa Fasihi vizuri! Usingeandika haya !
Nina mashaka na uelewa wako wa maneno ya kiswahili na matumizi katika fasihi.
![]()
Akina Joh makini, nikki wapili, na G-Nako hili hawakuliangalia vizuri !
Lina maadhi ya Taarabu na ki kike sana !