Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
"Kwanza mapenzi safari, ujana ni maji ya moto
Walinenaga zamani...
Pili tumetoka mbali, matatizo changamoto
tu visa visa fulani...
tatu kidonda chako kwangu maradhi
Mama tu usononekapo kwangu simanzi..
Kwa mahaba uliyonipa NIMENOGEWA
ni vurugu patashika punguza kidogo..
Na mengine kadhalika toto si unanielewa?
Hapo hapo uliposhika...ukiongeza kidogo mi mwenzako ntaumia" DIAMOND