Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,209
Kiwanja cha Burudani leo ni Nyumbani Lounge pekee karibu uone Historia ya pekee ya lady jdee uku akisindikinzwa na Prof Jay na suprize za kutosha uku kesho tukienda kuchukua Tuzo zetu pale Mlimani city