Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Jamani sikuwahi nunua album ya mwanamuziki.Leo nimenunua ni mapinduzi makubwa. Inaitwa MISULI YA IMANI ni ya jamaa anaitwa AMBWENE MWASONGWE,daa hakika ni nyimbo zenye kugusa sana.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
MASHINDANO YA KIMATAIFA YA SABA YA MCHEZO WA BAO ===================================== KIBA (Klubo Internacia de Bao Amantoj) linaandaa Mashindano ya Kimataifa ya Saba ya Mchezo wa Bao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za jumapili wana jf. Mimi ni mmoja kati ya wafuatiliaji wa series. Hasa nzuri na za kuvutia. Samahanini ila kuna huyu mshenzi anaitwa JERRY BRUCKHEIMER ameyengeneza serie inaitwa Hostages...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Leo nilikuwa naangalia filamu ya Bongo Movie, kupitia king'amuzi cha Azam Tv, nikakutana na maneno ya kiingereza cha ajabu kilichotumiwa katika tafsiri (subtitles), lengo likiwa kutoa tafsri kwa...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Binti commando lady jay dee ana show tarehe 2 May pale pale nyumbani lounge parking. Vipi ndugu zangu wa mjengoni clouds FM hamuandai show au mnaogopa K.O nyingine??
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Tunasonga kwa mwendo wa farasi au kinyonga/ kwa kunyongwa au risasi maasi yanatuzonga/ tunasonga kwa mwendo wa farasi au kinyonga/ tunasonga kwa vitendo karatasi au kuchonga.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jana 22/04/2014 katika kipindi chake kuna movie aliionyesha na kuisifa sana,which is very good! Ila pia akaahidi kuwa kuna movies pia zipo ambazo zimetengenezwa kwa kulipua lipua, nazo atazileta...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ijumaa Wikenda : Inadaiwa wakati mkiwa na urafiki, mlikuwa mnashiriki mapenzi ya jinsia moja ( Usagaji ). Je ni kweli ? KAJALA : Ni kweli nilikuwa nalala naye kitanda...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Amitabh Bachchan Reveals The Secret of Bollywood's Success By Susannah Palk and Lianne Turner, CNN It's an extraordinary concoction of dashing heroes, evil villains, insurmountable...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, tumekuwa na tabia ya kuwalaumu waandaaji wa KTMA kuwa wana upendeleo hasa kwenye Category za Hip Hop, hebu kabla hatujaanza kuwalaumu kili kuwa wanawapa tuzo washiriki wasiostahili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
sijui kama anapata chochote kwenye juke box huyu jamaa mara kilakona ni yeye tu pokodo( chelewa) artist navy kenzo ft nareel na aika...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Wakuu nasaka kazi ya udj kama tempo, niko na experience ya numark na pioneer sound systems, sahv ni mfanyakazi sehemu fulani ni swala la passion ndo linanifanya nisake hii kazi, addition info...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Wakubwa naikubali sana hyo ngoma ya ROMA ilaa ndo sijui naipata wapi nmemsikia akiiperform mara kwa mara. Mwenye nayo naomba aninyunyizie
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Hivi...tuzo ya video bora anachukua nani? Msaniii au mtengenezaji wa hiyo video?
0 Reactions
0 Replies
845 Views
naombeni anayeijua link
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Wakongwe njooni mrudi mkaikomboe fani,mmeondoka mkaliacha gemu mikononi mwa hawa madogo sahivi muziki wa bongo umepoteza taswira yake na mliowaachia wamefika sehemu hawaelewi hata wao wanakwenda...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
nimeisikia hii nyimbo kwa mara ya kwanza juzi kati na niliipenda hapo hapo, I played it like 7 times just to get his message. here are the lyrics; K.K.K by Roma ft Nicolazo Verse1:Roma Wameweka...
0 Reactions
19 Replies
12K Views
katika pitapita nimekutana na song jipya la professor Jay, naliona limetulia mashairi yana ujumbe tosha, beat kasimama mtu mzima Kinywele, chorus safi kabisa kasimama Diamond, mtu mzima J kachana...
0 Reactions
32 Replies
19K Views
DOWNLOAD NOWEarth To Echo Full Movie Online – In Nowvideo DOWNLOAD NOW Earth To Echo Full Movie Online – In Novamov DOWNLOAD NOW Earth To Echo Full Movie Online– In...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom