Filamu zinazofaa kwa watoto

Balacuda

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,390
2,000
Wana members. naomba kujua kutoka kwenu filam zinazofaaa kwa watoto katika familia

Tafadhali taja uzijuazo ili tukuze familia zenye maadili na utashi wa kufikilia positively sio hizi filam za kibongo ambazo karibia 90% ni kama X tu kwani hakuna kinachofichwa. watu waatongozana waziwazi na watoto wako pale sebuleni unasikia wanacheka kwa chinichini hadi wanaingia kitandani mambo hadharani.

baadhi ninazozijua ni:-

Stuart Little Part I
Stuart Little Part II
Chronicles of Narnia (The Lion, the Witch and Wardrobe)
Chronicles of Narnia (King Caspian)
Chronicles of Narnia (Voyage of the dawn Treader)
Baby's day out
 
Pazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
2,946
2,000
hii nzuri Madagascar nayo nzuri Mwanao ukimpeleka Europe au North America akirudi Africa Atakuwa Kama Alex wa Madagascar Cartoon hehehehe! movie ambayo si nzuri kwa watoto ni Harry Porter nasikia ile ni uchawi ambao zipo shule wanafundishwa watoto Boarding England na Nchi ya England wamekiri na kuna maneno wanasema kwenye Novel ni yanatumiwa na wachawi najuwa tutasema ni movie ila siyakuipa kipaumbele. Madagascar 1 nzuri. Up nayo nzuri.
 
Rapunzel

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
1,079
1,195
Ila kuweni makini sana na hizi filamu za action watoto hupenda ku copy sana

Mtoto wangu alikuwa anapenda avatar sana sasa siku mmoja nikamkuta kaweka mjiti mgongoni then kapanda juu ya dirisha akijiandaa kuruka kama avatar.. ni hatari sana
Au picha kama spiderman yaani watoto wanataka kuruka kama spider
Sina hakika kama huyu wa kwangu ni utundu umezidi au la? Ila umakini muhimu
 
Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
4,484
2,000
Ila kuweni makini sana na hizi filamu za action watoto hupenda ku copy sana

Mtoto wangu alikuwa anapenda avatar sana sasa siku mmoja nikamkuta kaweka mjiti mgongoni then kapanda juu ya dirisha akijiandaa kuruka kama avatar.. ni hatari sana
Au picha kama spiderman yaani watoto wanataka kuruka kama spider
Sina hakika kama huyu wa kwangu ni utundu umezidi au la? Ila umakini muhimu

Wtt wanawaiga hadi Tom and Jerry
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom