WEUSI - GERE lyrics [
Intro - Joh]
Yeah!
You know whats happening
when Weuse meets Nahreel,
right? Oyayoo...ooohoo
A city in the house!
Oyayoo...ooohoo
Lets go!! [
Gnako]
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere! You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
[Joh Makini]
Kubadili hizi mboga mbili tu
tabu kwa mswahili
Mganga hana mashairi jomba
ni bure kupiga ramli
Flow Weusi ni mbele, kanzu tobo ka Pele
Mboyoyo mingi kelele, kamata
tupa kule
Wajukuu wa Nyerere, chuki
zako ni bure
Kiunoni ni sime njele, juu sipendi kelele
Mavumba ni baba Fere,
Temeke huita michele
Karibu gheto ni sherehe, Weusi
hatuna kwere
Nina kibali juu ya mdundo huu so sina sorry
Sinyasori wapi Shaa sina story
Wivu ni kidonda umeshiriki
ugua pole
Chakati juu kiki...woo
woo!...pole pole
[Gnako]
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere! You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere! Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere! Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
[Nikki Wa Pili]
Sio gweraa hii jombaa Nikki
yule yule
Nilivyovaa, nilivyong'aa ni
kimulimuli
Viburi flow Idd Amin like nduli nduli
Brain kubwa, ndoto kubwa za
manguli nguli
Watoto nao ni kibao siku hizi
sipigi puli
Usijikombe chonde chonde na makonde bure
Punguza njaa lia ubao jomba
kaza msuli
Kwenye hela ndo watoto
wanatulia tuli
Benchi mnasugulia ha..hamna carrier
Ah! mziki kama mbege
kwangu suna kulia
Ah! Yesu na Maria! Ah! Ndo
tunatulia
Ndo nguna inaliwa, imebarikiwa
Get it?
[Gnako]
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere! You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere! Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere! Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere! [Gnako]
Kimbiza kimbiza...Usain Bolt
Tupo center ya mchezo...centre
bolt
Hatuna penda love, Weusi mtu
tano Center half no beef..no..no..no!
Tulifanya ndafu, mchezo
unatupa bread
Mda wa chai ujuzi unasambaza
umbea
Mkuda hakai, hatuongei ongei Tunafanya hatufanyi fanyi,
tunafanya kazi
Mungu hakupi roho mbaya
Sshh! Umeipandikiza
Kichwa chako passport, uwezo
wako ndo Visa Aaah! Tuna viburi eeh? Tuna
flow vizuriii
[Gnako]
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere! You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere! Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
...kwere!
...gere! ...kwere!
...gere!
[Outro]
*kinanda kinanyongwaaaa*