Msaada, nahitaji nyimbo

Msaada, nahitaji nyimbo

vibatar

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
57
Reaction score
16
wana jf msaada jaman naitaji wimbo wa abduli misambano asumin maana nimejaribu kuudownload cjaupata plz mwenye nao anaweza kunipa kupitia whatsapp no 0689439271 asanteni!
 
Hahahah duhhh, JF Nooma.
Yaani mzee unataka uipate ukamuimbie mtoto.

Mie naujua mwanzo mwisho labda nikuimbiea kisha U Copy na kupaste mistari kisha umtumie huyo Dem lazima utampata kwa mistari iliyomo mle.

Mzee unataka kuhonga hadi roho,hahaha kazi kweli
 
kuna siredi humu inasema wanaume wanaopenda taarabu ni mas.......ga.
sio mimi nisirushiwe mawe.
 
Back
Top Bottom