Albam mpya ya John Lissu -DVD- ishaingia sokoni?

kidi kudi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,676
Reaction score
2,339
Wasalaam, nianze kwa kusema tu kwamba nyimbo za huyu mtumishi hunibariki sana pindi nizisikilizapo. Najua ametoa albam nyingine baada ya kuachia YEHOVA YU HAI, lakini katika pita pita zangu kwa wauza DVD nimekua nikiiulizia sana albam mpya aloiachia mapema mwaka huu nazikuta za AUDIO tu, vp kuhusu DVD bado haijaingia sokoni?
 
Huyu jamaa kweli Mungu amtie nguvu kazi yake njema sana.Hiyo ya audio inaitwaje?huyu ndie mwimbaji pekee wa nyimbo za kuabudu anayefanya kazi ya Mungu kwa umakini.Hivi sio ndugu yake na Tundu Lisu?wote kazi zao zina viwango vya kimbingu
 
Huyu bwana kwa hakika anaimba nyimbo za kubariki sana,sidhani kama ana undugu na kamanda Tundu Lisu. Albam yake hiyo mpya inaitwa YUKO HAPA audio zinapatikana sokoni tayar
 
John lissu and tundu lissu......like brother and young brother
 
Back
Top Bottom