Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,087
habari za leo wanajamvi!
wakati nakuwa nilitokea kuzipenda mno hizi tamthiliya mbili ambazo zilikuwa zikioneshwa itv. Kwa bahati mbaya zilikatishwa kuoneshwa njiani na kwa muda ule nisingeweza kufanya chochole kwani nilikuwa denti na kipindi chenyewe nilikuwa naforce tu home au nivizie marudio. Kwa sasa niko fit kidizain kuweza hata kuzilipia. Anayejua hizi tamthilia nitazipataje na kwa gharama gani anisaidie.
Sunseat beach na Passions