Sporah Show inachochea bifu

Sporah Show inachochea bifu

Chungu cha bibi

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
525
Reaction score
166
Hii Nimeiona mahali hivi

Mtangazaji wa kipindi cha sporah show ametuhumiwa kwamba anapenda kukuza mabeef ya wasanii tanzania ama ni yeye kuwa
na elimu ndogo ya utangazaji kiasi kwamba anakosa cha kuuliza.

Wadau wengi waliyasema hayo kutokana na sporah kumuita Ally Kiba na kuishiwa maswal baada amuulize naswali yanayomuhusu Ally K kakazana na Diamond weeee huyu dada vipi? mmoja wa mashabiki alikereka. Mpaka ally kiba akamwambia dada sporah why diamond?

Sporah be creative Jikumbushe stori yenyewe ilikuwa hive "Hatimaye Kwa mara ya kwanza staa ‘the big name' wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba ameibuka na kumlipua hasimu wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz', hali inayotafsiriwa kwamba bifu lao sasa limefika pabaya ikidaiwa kwamba wanagombea nyota (ustaa).

Kupitia Kipindi cha The Sporah Show, usiku wa Jumanne wiki hii kwenye CloudsTV, Kiba alimchakaza Diamond ambapo alifunguka mengi
ikiwemo chanzo cha ugomvi wao. Kiba alizungumzia sosi iliyotengeneza bifu kati yake na Diamond ambapo aliulizwa kama ana namba ya simu ya msanii huyo ndipo akatiririka: "Nilikuwa nayo kipindi fulani, nilipohisi amenikosea nikaona sina ulazima wa kuwa nayo
 
sporah mi siku hz ananikera ndo maana tid alimjbu mbovu
 
Alafu namwona age imeenda kimtindo, bora aachane na kina bongo fleva.
 
Duu hata mie maswali yke yaliniboa kwa kweli ila kiboko yake ni TID pekee
 
Huwa naona kama kwenye interviews zake aidha hajiandai kimaswali au anapoteza uelekeo in between sijui....Manake anaweza akang'ang'ana na swali/issue moja karibu robo tatu ya kipindi....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom