Wajameni nisaidieni kunijuza jina la Msanii na la Wimbo;
Huwa naufumania tu radioni ukiishia, Ni mahadhi ya mchiriku na mashairi ni "Unajiamini kwa uwezo wako na unajiona kama vile uko peke yako duniani"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.