tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Kwa wale wenzangu wapenzi wa muziki huu hasa 'gangsta rap' au g-funk kama wanavyoiita si jina geni Snoop Dogg na pia nadhani mnaikumbuka albam yake iliompa umaharufu mkubwa inaojulikana kama The Doggy Style.
Aalbam hii ilizinduliwa November 23 1993 baada ya kazi toka january mpaka october, urefu wa albam hii ni 53:24 na kampuni ilioandaa albam hii ni dearth row kushirikiana na makampuni ya interscope pia atlantic rec. na maproducer walifanikisha albam hii ni dr dre na suge knight.
Single silizotolewa kuitambulisha hii albam ni pamoja na what's my name iliotoka october 30 1993 , gin and juice iliotoka january151994 na ile ya doggy doggy world iliotoka 26 june 1994 ,albam hii ilipata mafanikio sana kimauzo kwani iliuza zaidi ya nakala 4milion dunia nzima marekani pekee wakinunua copy 2milion, na miongoni mwa vibao vilivyosumbua sana watu wakati ule ni pamoja na what's my name,lodi dodi, niggaz and betches,pia six milion or die choose one!
Hii ni albam iliozinduliwa decembar 15 1992 bahada ya kazi takribani miezi sita yaani toka june uko katika jiji lenye raha na pilika nyingi magharibi mwa marekani los angeles carlifonia ,katika kampuni ya kuandaa muziki iliojulikana kwa utani kama LA music power house" death row chini ya dr dre na suge knight ,urefu wa albam hii ni dk 62:52
albam hii ilifanikiwa sana kimauzo kwani kampuni ya priority rec ambayo ilikuwa inasambaza ilifanikiwa kuuza nakala milion 4.5duniani kote miongoni mwa wasanii walioshirikishwa katika albam hii ni pamoja na gwiji la miondoko iyo ya g-funk snoopy doggy,pamoja na tha doggy pound, miongoni mwa singe zilizotolewa kuitambulisha albam iyo ni pamoja na let me ride iliotoka septembar13 1993, nuthing but g thang iliotoka nov 201992 na ile dre day iliotoka may 201993 ,na nyimbo zilizopo katika albam iyo ni pamoja na deeez nuuute! The day niggaz took over, na high power.