Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Track mpya ya Moyo wangu iliyoimbwa na msanii mwenye kipaji, ujuzi wa sauti na utunzi Spacio "Prince wa Masauti" yawa gumzo tz. Ni baada ya wiki chache kutambulishwa clouds. Je, wewe umepata...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukizungumzia reggae kuna Bob marley, ukija miondoko ya Rock kuna Elvis presley, Pop yupo mtu mzima Michael Joseph Jackson, Hip hop wapo Tupac na Notorious....je nani ameifanyia makubwa zaidi...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Nimetumia account hii (sio akaunti yangu) nikiwa na lengo la kufikisha ujumbe huu. Jina langu naitwa Blessing(sio mmiliki wa account hii) Jina langu naitwa Blessing nIna umri wa miaka 19 ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa jamaa nawakubali sana! naomba mwenye nyimbo za k basili ''wanipa raha" na nyingine aniwekee nipakue pia mwenye wimbo wa Linex-Aifola aniwekee pia! waptrick hizi nyimbo hazipo! naomba msaada...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeitembelea leo hii tovuti, wanadai wanatangaza bure kazi za wasanii pamoja kuuza muziki kwa gharama nafuu. Tovuti iko njema sana na kilichonifurahisha ni kuwa wanatoa mrabaha wa asilimia sitini...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Hii ni orodha kamili ya washindi wa AFRIMMA 2014 Best DJ Africa 2014- Dj Black (Ghana) Best African DJ USA 2014 – Dj Josh (Kenya) Best Video of the Year 2014- Flavour (Nigeria) Best Male East...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Yule mfadhili wa ujambazi Tz na raia wa Nigeria, Kingsley O.Ugiagble ameondolewa nchini huku akitamba kuwa serikali haiwezi kumfanya lolote. Kingsley alikuwa akilindwa na maofisa vigogo walioko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji kuwasiliana na BLACK BOYS studio, mwenye access nao, au wenyewe call 0783489183
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wapenzi wa sweat slow reggae...pateni kitu hicho....cc BAK, Eyer, Measkron,georgeousmimi, vaislay http://youtu.be/DYiqFEFbzdY
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Zinaitwa African Muzik Magazine Awards ambapo za mwaka huu 2014 zimetolewa huko Eisemann center Texas Marekani na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo Diamond wa Tanzania ambae pia alikua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
C1: Likolo na ngai Na bososoli masiya Na bozalisami ya Yo Kati na motema Nde lokola bozui na ngai Awa na se na moyi Nionso yo okoma po na ngai Pe oyo osala po na ngai Yango nde...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Just when you thought popular Nairobi it-girl Vera Sidika had done the most extreme by bleaching her skin, the self-styled girl returned to Nairobi from her recent tour with another shocker...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ili kuziwesha kupata soko kimataifa, movies zetu zimewekewa maneno ya kiingereza ili kutafasiri kinachoongelewa kwa kiswahili. Cha ajabu English structure na grammar katika sentensi hizo ni mbaya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana jamvi! Nahitaji series za 24. Kama yupo mdau mwenye hiyo 24 kwenye Hdd, high quality anijulishe, nitachangia kidogo. Kuanzia Season 1 hadi hii iliyoisha juzi juzi Uingereza. Nipo Dar.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tamthilia ya when you where mine inakalibia kuisha ungependekeza tamthilia gani ifwate baada ya hiyo?....maoni ya wengi ndio yatafwata asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam nyote, Jamani nimetafuta karibu miezi 2 sasa online hz nyimbo bila mafanikio. Mwny nazo jamani anisaidie ntamshukuru sana. 1. Bwana Mungu- Upendo kilahiro&TAG Kimara 2. Hakika wema...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
http://youtu.be/-7OcGS6sV8E
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ikiwa leo anatalajia kusafiri kwenda jijin Texas kwenye utoaji wa tuzo za AFRIMMA, ambazo anawania category tano,President wa WCB..@diamondplatnumz ametajwa kuwania tuzo zingine barani Africa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
http://youtu.be/-_O2RMNBHpk
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…