Bendi Za Zamani tujikumbushe Leo

Bendi Za Zamani tujikumbushe Leo

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,853
Reaction score
35,614
Wakuu poleni na majukum ya kila siku.
Leo naona kila mmoja atueleze kibao cha bendi au mwanamuziki wa zamani kilivomuingia moyoni na ukiusikiliza wimbo huo unakumbuka nini
Mimi nakumbuka kibao cha Tom Malanga (Sina Makosa) hapo sitosahau mpenzi wangu alivotorokea Kisii Kenya akinacha Mwanza.
 
Au waonaje chupa ya bia mezani na vibao kama KASUKU kutoka Les Wanyika vikiwa vinatumbuiza jamani daaaahhhh basi tu.
 
Pole kaka naona unaongea peke yako, hapo juu kuna uzi 'sticky' wa toka 2011 una kila kitu kuhusu bendi za zamani ungeingia hapo uchangie kuliko kuanzisha uzi mpya. Ni mtazamo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom