Jumamosi bariiiiiiiiiiiiida.

Jumamosi bariiiiiiiiiiiiida.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,707
Reaction score
1,729
Siku ya jumamosi TANESCO wakijisahau ni burdan haswa. Anzia TBC FM saa kumi na moja alfajiri na KAVASHA mpaka saa tatu asubuhi. Pumzika mpaka saa tano asubuhi kwenye Radio One utakutana na MTAA WA MANGOMA mpaka saa saba mchana. Pumzika kwa habari mbalimbali mpaka saa nane hapo RFA utakutana na FLASH BACK mpaka saa kumi jioni na utaunganisha na RAGEA TIME mpaka saa kumi na mbili. Kama mfuko umetuna na kitrasmitter cha RFA hakijazima utasuuzika na roho yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom