watu wengi wale waze wa umri wangu wamekuwa wakijichanganya kidogo kuhusu wimbo wa kata ya maji ukweli wakidhani umepigwa na ddc mlimani park ukweli umepigwa na orchestra safari sound oss
watu wengi wale waze wa umri wangu wamekuwa wakijichanganya kidogo kuhusu wimbo wa kata ya maji ukweli wakidhani umepigwa na ddc mlimani park ukweli umepigwa na orchestra safari sound oss
Labda kinachowachanganya watu na kudhani ni Sikinde ni sauti za Cosmas Chidumule na Hamisi Juma "Maalim Kinyasi", ambao walijiunga na OSS wakitokea Sikinde.
Baada ya kunywa fundo tatu za maji,kanyang'anywa kata mdomoni kabaki na kiu jamani oh,
Siwezi x2 kutoa nadhiri,japo wamenuwiza kulivuruga penzi letu,siiweeeezi.
Nalog off
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.