Msaada wadau wa muziki Tanzania

Msaada wadau wa muziki Tanzania

Sambali Boy

Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
31
Reaction score
5
Habar za majukum wadau, wakubwa wang samahan nahtaj msaada kwa anae faham kuhsu taratbu za kuintroduce ngoma mpya kwenye radio stations especially clouds fm, kama kunagharama yoyote au kunautaratbu flan, yotehayo nahtaj kujûlishwa. Nawasilisha kwenu wakubwa Ahsanten!
 
Nitafute ila uwe na laki tano mkononi
NB:hiyo ni ya kwangu tu hadi nakufikisha kwa Boss
 
Mkuu, umeiba/kudown load beats za watu na kujifanya mwana muziki kama wenzako wa fleva au.
 
mimi ciyo mwizi nawala cjataka kuiba. Lengo ni kutaka kutangaza ngoma ambazo zitakuwa nasifa ya ubunifu wangu kama sambali.
 
Sasa unakataa nini? Ume-download beats from the computer na kujifanya ama kusingizia kuwa wewe ni mwanamuziki kumbe ni wale wale tu vijana wa fleva.
 
sijashndwa kukutafuta, unamaanisha ili kunipa taratbu zote mpaka nitoe lak 5

sasa wewe kaa hivyo hivyo hilo song lako utapiga gheto kwako tu,MKONO MTUPU HAULAMBWI muulize mwenzio baba wema sepetu atakuambia
 
why you guys mnakua so negative on this? mkumbuke mwanaume mwenzenu huyu. dah!
 
Dogo achana na mziki tafuta kazi nyingine ufanye kibongobongo hiyo hela unayoinvest uko inaweza kukuweka pazuri zaidi ama mayb kama unafanya just for fun, ni ushauri tu.
 
sasa wewe kaa hivyo hivyo hilo song lako utapiga gheto kwako tu,MKONO MTUPU HAULAMBWI muulize mwenzio baba wema sepetu atakuambia

siyo kila mpumbavu huwaza kueneza upumbavu, nakushangaa jombaa kutokuwa mwerevu, jua hii siyo kes you just behave.
 
uelevu ungeenda clouds media na sio JF kama sio kujitafutia kutapeliwa ni nini?jinga
 
Sasa unakataa nini? Ume-download beats from the computer na kujifanya ama kusingizia kuwa wewe ni mwanamuziki kumbe ni wale wale tu vijana wa fleva.

samahan kama hujanielewa, sidhan kama unanijua, au song yangu umeisikia, nakushangaa unapolazmisha kudandia gar kwa mbele wakat hujui linatoka wap, kuwa mwanaume basi mkubwa!
 
Usilazimishe kila person awe na same feelings as u. Jiulize kabla hujaniona mjinga leo, jana yako ulikuaje? Labda utapeli ufanye wewe.
 
Nimekuelewa mkuu
 
dogo muziki bongo achana nao kama mdau alivyokwambia hapo juu bora hyo hela uwekeze kwenye, labda kama unatafuta umaarufu kwenye majukwaa na kusikika redion! vinginevyo ujianda kuwa kulipia kila ngoma yako inapopgwa na kuwalipa show madj na mapromota, kama hutanielewa waulize kina sajna, pnc, hussein machoz, csir madini walivyomnemesha kid bway rfa!
 
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom