MpigfilimbiwaHamelin
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 652
- 169
Enzi hizo RTD kabla ya taarifa ya habari kunakuwa na ujumbe kama huu:
Moyo wangu unadunda,
usiku na mchana unagonga,
uwe macho au usingizini
moyo huu uko kazini.
Unafanya kazi bila kusita
tangu mwanzo wa uhai wangu
kwa sababu moja muhimu
- ukiacha kufanyakazi
angalau kwa dakika chache tu - Uhai wangu unatowekaaaa.......
Kutokufanyakazi ni mwisho wa uhai,
Kufanyakazi ni kudumisha uhai
Kazi!
Ni mwanzo wa Uhai
Kazi!
ni maendeleo ya uhai!
Kazi!
ni msingi wa uhai
Kazi!
ni Uhai.....(music beats)
Jamani TBC turejesheeni jumbe hizi.
Moyo wangu unadunda,
usiku na mchana unagonga,
uwe macho au usingizini
moyo huu uko kazini.
Unafanya kazi bila kusita
tangu mwanzo wa uhai wangu
kwa sababu moja muhimu
- ukiacha kufanyakazi
angalau kwa dakika chache tu - Uhai wangu unatowekaaaa.......
Kutokufanyakazi ni mwisho wa uhai,
Kufanyakazi ni kudumisha uhai
Kazi!
Ni mwanzo wa Uhai
Kazi!
ni maendeleo ya uhai!
Kazi!
ni msingi wa uhai
Kazi!
ni Uhai.....(music beats)
Jamani TBC turejesheeni jumbe hizi.