Hivi hii imekaaje waungwana.

Hivi hii imekaaje waungwana.

Jicho tu

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
217
Reaction score
51
Habari wajameni,nimekuwa nikifatilia tungo nyingi za wasanii wa bongo fleva na taarab,swali nnalojiuliza kila mwimba bongofleva ametendwa au ameachwa huku wenzao wa taarabu wao ni kuonewa gere/kijicho.Hebu waungwana tujadili ni desturi au mazoea tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom