Hivi ni mtangazaji gani anayekuvutia

Hivi ni mtangazaji gani anayekuvutia

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,257
Reaction score
3,904
TANZANIA KUNA WATANGAZAJI WENGI WA REDIO UKIWASIKILIZA HUWA WANAKUVUTIA NA WAPO WENGINE UKIWASIKILIZA WANAKUBOA KWANGU MIE

WANAONIVUTIA WATANGAZAJI HAWA....

1.arthony joseph....huyu ni wapo redio fm

2.rita william chualo.....wapo redio fm

3.sam mahela ........wa i.t.v

4.fatma julius nyaisanga......wa i.t.v....

5.dokta. issack maro.......kipindi cha njia panda ....clous fm

wanaoniboa....
1.adam mchomvu

2.gerald hando.....

je wewe ni nani nayekuvutia ni nani anayekuboa....
 
kuna mzee huwa ana tangazaga habari za kimataifa Startv huwa ananibamba sana....


anae niboa ni KIBONDE, na baadhi ya watangazaji wa TBC TV...
 
Wanaoniboa ni kilumanga.kitenge.bwigane.hando ovyo kabisa. Hando apelekwe tv.!!
 
niboa sanaa ni clouds yote kasoro milard hayo na sports extral team tu, ni vutia sana ni zembwela, gardener, deo reyunga na salum mkambara.
 
kuna mzee huwa ana tangazaga habari za kimataifa Startv huwa ananibamba sana....


anae niboa ni KIBONDE, na baadhi ya watangazaji wa TBC TV...

Huyo jamaa wa Star Tv (Samadu Hassan) kwa kweli anga za kimataifa hata mimi huwa ananivutia sana.
 
WANAONIBOA....
Mmmmmmmmmmh.........Labda sijawasikia wengine naona wako vizuri....
 
WANAONIVUTIA......
Flava-EA RADIO.
Seba-EA RADIO.
kibonde-CLOUDS
Gadner-TIMES
Dr.isaac-CLOUDS
 
Wanao nivutia ni
Dr Isack Maro
Millard ayo
Zembwela...
B dozen
Ivona kamuntu
Samadu Hassan
Wanaoniboa ni Gerald Hando
 
Anayenivutia ni Godwin Gondwe, wanaoniboa ni wengi sana kiasi cha kujaza saver!
 
Hv kbonde anavutia kumbe!
Mimi naowakubali sky walker(fred bundala),milard,salama j,samadu hasan maduu, anayetangaza magazeti radio maria, nyimbona masanga(sijui ndo anaitwa hv tbccm) na joji maratoo wa aitiviiiiiiiiiiiii!
 
samadu hassani, salim kikeke, ivona kamuntu, caputain G na masako wanaoniboa watangazaji wote wa bongo flava wanaigana
 
Back
Top Bottom