YOUNG KILLER bado ni msanii mchanga lakini mambo anayofanya ni makubwa. Kazi zake zimekuwa na ladha tofauti sana na ambacho tumesikia mpaka sasa kutoka kwa wasanii wa Hip Hop hapa nchini. Mfano mzuri sana ni hii kazi yake ya mwisho iitwayo UMEBADILIKA ambapo amemshirikisha Banana Zorro. Tuendelee kufurahia jinsi Hip Hop ya Tanzania unavyoendelea kubadilika kutoka enzi za East Coast, Mr 2, X Plastaz n.k.
https://mkito.com/song/umebadilika-ft-banana-zorro/2186 :cool2:
https://mkito.com/song/umebadilika-ft-banana-zorro/2186 :cool2: