Nani anaujua huu wimbo??

Nani anaujua huu wimbo??

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,502
Reaction score
6,458
Kuna wimbo mmoja naupenda sana lakini sina bahati ya kuujua wala kuwa nao!! Ni wa kitambo kidogo nimekuwa nikiusikia kwenye maredio tu, jina lake sijwahi kulijua.

Wimbo sijui umeimbwa na nani ila amemshirikisha Banza Stone na hata sehemu ninazozipenda zaidi ni zile alizoimba Banza!

Banza anaimba hivi "Hata ukoo sina, sina ndugu wa damu. Wala kabila sina udini, sijui mmakonde!! Au msukuma, sijui mmasai au mluguru"

Kuna bridge ya kimchiriku Banza anaimba "Nalia lia mama oooh, uko wapi mama oooh, nalia lia mama ooh! Uko wapi mama oooh!! Nataka kucheza eeh nataka kudekaa!! Kucheza eeeh! Nataka kudekaaa!!"

Kama kuna mtu anao, au anaujua jina mnipatie niweze kuupata, wimbo unanikuna sana huu. Msaada wenu please wana JF
 
jina la wimbo limenitoka ila ni utunzi wake Banza Stone alipokuwa na bendi ya TOT mwaka 2002.
 
Zingekuwa Bongo fleva au Mamtoni ningeutaja ila hizo sizijui.

Mi mwenyewe kwenye dance sipo saana ila nyimbo alizoimba Banza Stone nazikubali sana ingawa ndo hivyo nyingi sizijui naokota okota tu hahahaa!!
 
jina la wimbo limenitoka ila ni utunzi wake Banza Stone alipokuwa na bendi ya TOT mwaka 2002.

Naupenda sana ila kuusikia kwake kwa nadra sana!

Nilikuwa kwenye basi majuzi Radio moja hivi tukiwa Morogoro waliupiga!!

Niliwachokoza abiria wenzangu kuhusu uzuri wa huo wimbo lakini hakuna aliyeujua jina ingawa wengi waliupenda pia!! Na bahati mbaya mtangazaji hakuutaja jina wala mwimbaji so alituachia ubishi mkubwa sana kwenye basi!!

Mi nilijua alifanya kama featuring kumbe ni enzi hizo akiwa TOT!!
 
Kuna wimbo mmoja naupenda sana lakini sina bahati ya kuujua wala kuwa nao!! Ni wa kitambo kidogo nimekuwa nikiusikia kwenye maredio tu, jina lake sijwahi kulijua.

Wimbo sijui umeimbwa na nani ila amemshirikisha Banza Stone na hata sehemu ninazozipenda zaidi ni zile alizoimba Banza!

Banza anaimba hivi "Hata ukoo sina, sina ndugu wa damu. Wala kabila sina udini, sijui mmakonde!! Au msukuma, sijui mmasai au mluguru"

Kuna bridge ya kimchiriku Banza anaimba "Nalia lia mama oooh, uko wapi mama oooh, nalia lia mama ooh! Uko wapi mama oooh!! Nataka kucheza eeh nataka kudekaa!! Kucheza eeeh! Nataka kudekaaa!!"

Kama kuna mtu anao, au anaujua jina mnipatie niweze kuupata, wimbo unanikuna sana huu. Msaada wenu please wana JF

Jirekodi tupia audio tone ya sauti yako hapa unavyoimbwa nikutaftie full album, utainjoy
 
Kaka mtihani huo, ndiyo maana nikakubali kuwashabikia wanaoimba sababu sauti za sie wengine utata!!
 
Naupenda sana ila kuusikia kwake kwa nadra sana!

Nilikuwa kwenye basi majuzi Radio moja hivi tukiwa Morogoro waliupiga!!

Niliwachokoza abiria wenzangu kuhusu uzuri wa huo wimbo lakini hakuna aliyeujua jina ingawa wengi waliupenda pia!! Na bahati mbaya mtangazaji hakuutaja jina wala mwimbaji so alituachia ubishi mkubwa sana kwenye basi!!

Mi nilijua alifanya kama featuring kumbe ni enzi hizo akiwa TOT!!

Wimbo huu ulirekodiwa pamoja na ule uliotia fora wa 'Elimu ya Mjinga'. Zipo kwenye albamu moja. Ukiipata albamu hii utakuwa umeupata wimbo huo uupendao.
 
Thanks sana mkuu, uwe na Jumapili njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom