Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,228
- 98,188
Msanii sam wa ukweli akiwa ktk maonyesho yake ktk wilaya ya liwale amekutana na majanga baada ya baunsa aliye kuwa anaangalia usalama getini na kukagua uhalali wa tiketi za kuingilia kupigwa kisu na mtu mmoja aliyetaka kuingia bure kuingia ukumbini sanabu kuangalia maonyesho bure.