Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,880
Kuna hili lingoma sijui linaitwaje.......limenisuuza mbayaaa.....Mwenye kuliimba anaitwa Mr Flavor......ni remix....kalipiga Kayanda kwenye top 20 leo Clouds (kwa waliokuwa wanasikiliza)......Naomba anayeweza kuliweka hapa aniwekee tafadhali nizidi kusuuzika roho yangu......
Thanks
Thanks