Homeland is one of my favorite TV Shows. For my taste, it's second to 24 ingawaje kuna kitu nakipenda zaidi kwenye Homeland as compared to 24... LITTLE VIOLENCE but story! As we all know, wale...
NILIWALIZA NAMI NIKALIZWA
Wewe uliwaliza nawe ukalizwa ,unamaanisha nini?Robin alikuwa anamuuliza rafiki yake amfafanulie maana ya maneno aliyoambiwa na rafiki yake huyo anayeitwa Frank...
Kuna artist hapa nchini anaitwa msami nadhani wengi mtakua mnamjua kwa nyimbo yake ya sound track naomba niulize kwa wale walio ona video duh! Huyu jamaa mbona swaga zake jama sizielewi elewi...
Wimbo " Mwana" by Alikiba ni Dongo Kwa Diamond.
https://www.youtube.com/watch?v=cllJK5AMJf0
HUU HAPA UTHIBITISHO.
Mali ni nyingi nyumbani, kipi kimekukimbiza,
Hapa Alikiba...
Watu wa Carribean sijui wanaishije, kwny youtube nimeangalia staili za maisha yao mpaka disco zao zilivyo kwa kweli wana kautaratibu fulani ambao huku Africa sijui kama tunaishi kama wao.
Zaidi...
Samahani wadau wa muziki wa zamani, kuna huu wimbo nautafuta sana, sijui uliimbwa na band gani na unaitwaje. Una kibwagizo kinasema...
Iiiiih nyamaaza eeh
iiiih nyamaaza eeh
aliyoyasema...
Kwa wale wafuatiliaji na wapenzi wa mchezo wa mieleka (WWE) hii ndio itakua thread yetu ambayo tutakua tukipeana Updates ya kinachoendelea.
Tukianzia na matokeo ya jana Sept 21 katika...
Nilikuwa natazama MTVbase ...wakaweka nyimbo zilizo hit za Usher Raymond.....top ten..wimbo huu wa You got it bad ndo ulitajwa kama ndio wimbo ulio pendwa au ku hit kuliko zote...ukiusikiliza tena...
15 Facts u shud know about JACK BAUER...
1. Jack Bauer is the leading cause of death in Middle Eastern men.
2 Jack Bauer once called the Vice President "Mr. President", but realized his mistake...
jamani wanajamii forum habari zenu,nilikuwa naomba yeyote mwenye wimbo wa andrew sekedia wa PAULINA ANIFANYIE ATTACHMENT NIUDOWNLOAD,nategemea hilo kutoka kwenu,asanteni sana