Natafuta support Kimuziki

Natafuta support Kimuziki

Jayffa

Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
81
Reaction score
5
Habari zenu,, naitwa jayffa ni msanii wabongo flaver!! Nahitaji mtu atakaye weza kunipa support ili niweze kuinuka kimuzki unaweza kunipata 0758082840 ili tuweze kusaidian
 
Music aina gani na support gani unayoitaji kama ni kurecord sema usaidiwe
 
Nipo mkoani kikazi zaidi km 1300, nicheki pm huenda tukafanya kazi
 
Una level gani katika elimu ya muziki, au uliwahi kushiriki vocal tournament yoyote kama bongo star search , club raha leo show au Tusker project fame?

je ni mwalimu gani mtaalamu ya muziki aliwahi kusikiliza sauti yako na kukuambia kuwa una kipaji cha asili cha kuimba ambacho kinahitaji kuendelezwa ? au ni wewe mwenyewe kwa kutwanga mistari kivyako unaamini kuwa una kipaji?
 
Back
Top Bottom