Kapigwa na kijana mdogo

Kapigwa na kijana mdogo

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Habari zenu. Naomba msaada. Kuna wimbo wa zaman sana,kwa mwenye jina la wimbo tafadhali. Wimbo una maneno haya " ngebe na majivuno,umepigwa na kijana mdogo" sjui ni atomic jazz au nan hawa.
 
Asante nimeupata. Kumbe ni wa mwinshehe
 
Back
Top Bottom