Nimeonja pendo lako

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,948
Nimeonja pendo lako nimejua u mwema
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe
Nitawaongoza vema waimbe kwa furaha
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.

Ukarimu wako (Bwana), na huruma yako (wewe), msamaha wako (Bwana), na upole wako (wewe) umenitendea wema usiopimika
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.
 
Ukarimu wako Bwana na huruma yako wewe
Msamaha wako Bwana na upole wako wewe
Umenitendea wema usiopimika
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe

huu wimbo ulitungwa na B Mukasa
 
Ukarimu wako Bwana na huruma yako wewe
Msamaha wako Bwana na upole wako wewe
Umenitendea wema usiopimika
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe

huu wimbo ulitungwa na B Mukasa

Wewe kweli ni pianist!
 
naona mtoboa siri umekumbukia makuburi
naona pia hapo ulipo kwa david cameroon umemis nyumbani
home sweet home na bahati yako snow imewapiga chenga mwaka huu.
 
naona mtoboa siri umekumbukia makuburi
naona pia hapo ulipo kwa david cameroon umemis nyumbani
home sweet home na bahati yako snow imewapiga chenga mwaka huu.

Lokissa, ina maana huna siri? Well, btw mie nipo Bongo muda huu. Huko ughaibuni hamnipati siku za karibuni. Kama noma na iwe noma!
 
Nimeonja pendo lako nimejua u mwema
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe
Nitawaongoza vema waimbe kwa furaha
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.

Ukarimu wako (Bwana), na huruma yako (wewe), msamaha wako (Bwana), na upole wako (wewe) umenitendea wema usiopimika
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.

Mkuu songi la ukweli
 
yaani nilivyoona heading, nikahisi watu wamechakachua love/passion ya Christ kuweka kwenye ng.no; thank God l am wrong. Too bad sikupokea leo; ningeuimba kwa nguvu zote!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom