Mi ni fan wa Hip Hop, fan wa AY...sijaridhika na kiwango cha hii single...iko kama wamekurupuka, kuanzia kwenye lyrics, melody, beats, na hata video. Iko kawaida sna. Kuna nyimbo nyingi za underground wa Bongo ni bora kuliko huu wimbo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.