Prof . Jay nang'atuka mp3 audio dedication to mr president na watu wake

mgusi mukulu

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
715
681
Kiukweli ukiusikiliza huu wimbo ni fundisho tosha kwa maisha ya sasa hasa viongozi wetu. Nenda waptrick , search kisha download halafu sikiliza tenzi za huyu jamaa yaani utafikiri hawa viongozi hawajui kuwa kuna kitu kinaitwa kufa na jehanamu.
 
Back
Top Bottom