TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Hii kitu niliishudia ya kwanza nikiwa Chalii na niliikubali kinoma, sijui iliishia wapi. Na washkaji walioshiriki, kina Rage, Big Mike, Adamiz, Snazz tha Dictator na mchizi wa Ghana yule alikuwa na sneakers flani final kila mtu anazi-diss, sijui wako wapi hawa jamaa