Huntsman
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 648
- 621
Kama kuna mwenye namba za huduma kwa wateja anisaidie niwaulize
Heshima mbele wakuu,
Jana nimelipia tsh 20000 Azam tv ili niweze kuona channels zote ikiwemo VIASAT NATURE/HISTORY Channel lakin cha ajabu naambiwa access denied kwa baadhi ya channel ikiwemo hii. Kuna anayeipata hii channel?
Asanteni wakuu tatizo limerekebishwa