Ninaona title yako inaonyesha kicheko!. Sasa hapa unafurahia nini? Kwamba watu wakipata shida wwe unafurahia? Kwamba wamefulia kwa hiyo kwako ni kicheko?
Wewe si umetoka kusema uko sawa na Mungu kwamba mna dini moja. Dini yako hiyo inakufundisha kufurahia matatizo ya watu? kwa hiyo na huyo mungu wako unayesema anadni kama yako anafurahia mateso ya watu?
Nimesema usabato ni unafiki na upagani uliokithiri. Umekubali sasa? eti Mungu na wewe ni mates!. Ninadhani waliokuwa hawakuelewi kwamba usabato ni upagani wa kinafiki, lakini hakuna uchaji wa Mungu, watakuelewa hapa.
Ungelikuwa na Mungu wewe, ungekuwa na huruma kwa wanaokwama ama kuteseka na hivo usingeangua kicheko kwa kuwa Origional komedi wamefulia.
Biblia inasema, ..Mungu hapendi kuwatesa wanadamu na wala hapendi kuwasikitisha. Wewe mate wako ni mungu wa wapi?
Sasa ujione namna ulivyo m'pumbavu unayefanya imani kama haya manguo yako unayojifunika nayo wakati wa baridi na unayavua waakti wa joto.
Mjue Mungu uache unafiki, wivu, hila majungu, umbea uchawi, uwongo, uzinzi na uchonganishi. Pu.mbavu sana wewe.