Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,319
Wadau nilikuwa namsikiliza John Dillinga DJ JD aliupiga huu wimbo ametaja na jina something kama AIMEX 123 sasa nimejaribu kusearch online sipati kitu kinachofanana na hiko,pengine labda hilo jina siyo,JF kuna wajuzi wengi kama unaujua huo wimbo nitajie ni kundi gani lililoimba.
Thanks in Advance.
Thanks in Advance.