Donald & Diamond Platnumz - Wangu - Official Music Video

Donald & Diamond Platnumz - Wangu - Official Music Video

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,163
Reaction score
5,766
attachment.php

LINK: YOUTUBE - Donald & Diamond Platnumz - Wangu - Official Music Video
 
Attachments

  • wangu.jpg
    wangu.jpg
    25.7 KB · Views: 2,529
damn bonge la goma damn subiri watu mapovu yaje kuwatoka hapa utasikia kwan diamond hajaimba kizulu
 
Watanyoookaa tuuuuuuu hamna jinsi.
Maana mswahili huyu hatumii maneno peke yake huwa anasindkz na vtendo
 
Ngoma kali sana, imenikumbusha Liquideep naukubali sana huu music uliochanganywa soul na afro fulani hivi. Japo najua hii sio miziki ya wananchi.

Big up Dangote unaendelea kutuwakilisha vyema, hizo camera utasema ulizaliwa nazo. Nachokubali fursa kwako uchezei.
 
Beats kwanzia mwanzo ni unabugiiiiiii, spika fulani amazing imenipa raha leo na mwimbo huu kama kawa.

nimeupenda melody mwaaaaaaa, Diamond nae katoka wow

Mjua mahaba lazima awezeeeeeee
 
Ngoma kali sana, imenikumbusha Liquideep naukubali sana huu music uliochanganywa soul na afro fulani hivi. Japo najua hii sio miziki ya wananchi.

Big up Dangote unaendelea kutuwakilisha vyema, hizo camera utasema ulizaliwa nazo. Nachokubali fursa kwako uchezei.

Yah mkuu hii type ya music kikwetu huku watu hawaelewi sna lkn kama ushawah kuwasikiliza Liquideep utaelewa huu mziki ni mtamu sna na South wanaupenda sna Diamond kaimba vzr BigUp.
 
Yah mkuu hii type ya music kikwetu huku watu hawaelewi sna lkn kama ushawah kuwasikiliza Liquideep utaelewa huu mziki ni mtamu sna na South wanaupenda sna Diamond kaimba vzr BigUp.

Na diamond amesema kwamba wasouth wanapenda sana aina ile ya muziki
 
Kibongo bongo Hatujazoea muziki wa vile/aina ile ya muziki sio ya kwetu watanzania ila nasikia huko south ndio wanapenda sana zile slow motion
Mtoto wa tandale kajizoelea zake viuno atakua kapata tabu ha ha ha ila katafta mahali akakata kiuno kidogo
 
Hakuna namna nyingine. Watanyooka tu! Na ni lazima wanyooke hii kitu ni kali mno
 
Back
Top Bottom