Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

These kids are the real deal. Since the release of 'Yamoto' (their best tune to date, in my opinion) they have consistently raised their game up in all facets of their music - composition...
3 Reactions
20 Replies
9K Views
Kiukweli nasikia harufu na kila dalili za ugomvi uliosabisha kifo cha Tupac na B.I.G kutokea hapa TZ kwa ali kiba na Diamond. Kwasabu ya chuki zilizopandikizwa na Wanawake(Wema na Jokate) Kuna...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
#Repost Well Nimekuwa nikipokea maswali na Comment nyingi eti kwanini sitangazi vipengele vyangu vya Tunzo watu wanipigie kura...tafadhali naomba mniskilize kwa umakini: "Ikiwa MOE MUSIC...
2 Reactions
331 Replies
44K Views
Kweli Mungu akisema ndiyo hapana wa kusema Hapana. Hili ni somo kwa jirani zetu #TeamJuiceMalimao . Hiyo ni Texas usiku wa leo, ni live show bila cd sio kama yule msanii wa kimataifa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
kati ya hawa watangazaji nani mkali? nani wakumbali?
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Usiku wa jana, Juni 13,2015 hapa nchini ulishuhudiwa utoaji wa tuzo mbali mbali kwa wasanii wetu hapa nchini. Ningependa kuwasifu KTMA na BASATA kwa uwezo wao wa kujaji nani apewe tuzo fulani...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Hakuna ubishi kua kwa sasa diamond platnumz ndie msanii anae ongoza kupigwa vita kuliko msanii yeyote hapa nchini. Vita hiyo ina ongozwa na baadhi ya walio wahi kuwa wapenzi wake pia na...
14 Reactions
202 Replies
24K Views
Kwa wapenzi wa muziki wa Bongo Fleva, usiku wa leo ndio utakuwa na ushindani mkubwa katika katika kinyang’anyiro cha Tuzo za Muziki za Kilimanjaro 2015. Sherehe za utoaji tuzo hizo zitafanyika...
0 Reactions
165 Replies
15K Views
Huu wimbo ni staili kama ya R&B , naupenda ila sijui ni wanani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana kulikuwa na utoaji tuzo za kilimanjaro music awards. Napenda kuwapa pongezi waandaaji wa tuzo hizo kwani zimetolewa kwa haki kabisa kwa kila aliyestahili.hamna aliyeonewa kwa wanaofikiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hamna kitu kimenifurahisha kama Kusikia ally kiba ni mtunzi bora zaidi ya Barnaba!!!... barnaba anayetunga nyimbo zake, za vanessa mdee pamoja na hii nyimbo inayotamba san ya Ruby...anapitwa na...
9 Reactions
70 Replies
7K Views
Je ni kila mtindo unaopigwa na masharo baro au ni muziki wa dansi wa kiswahili uliokolezwa bila vyombo halisi?(Muziki wa kutengeneza kwenye computer?) Ni kawaida kukuta muziki wa Kwaito ukiimbwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba nianze kwanza na hichi kipengere,iv kuna mtumbuizaji bora apa bongo zaidi ya diamond kweli? Na kama wanaangalia show basi Chibu is da best kabisa,kwa mwaka huu Kiba sidhani kama alikuwa...
2 Reactions
57 Replies
7K Views
Sikatai kiba anajua mziki lakin hajathubutu n diamond anajua na amethubutu,Ubora wa Aly kiba ni ukongwe kwenye game bt diamond anajua nini anachokifanya ndomana kwa sasa anajulikana kimataifa...
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Nimejaribu kuziangalia mara kadhaa hizi terminator trilogy kama, terminator, judgment days, rise of machines, salvation na trailer la Genesis(coming soon). Idea kubwa ktk movie ni time travel na...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Naomba kwanza kwa ngebe.....majigambo....mbwembwe .......heshima......taadhima.......misifa........nyodo ......na ufahari mkubwa kutamka wazi kuwa mimi ni "die hard" and "true fan" wa muziki wa...
7 Reactions
71 Replies
10K Views
Ndugu yenu kiba hana uwezo ila kwakuwa hamkuwa na kazi ya kufanya kupanga matokeo tofauti na yanavyotakiwa kupangwa Ipo siku uwezo wa mond utaonekana wazi tu mana watz walio wengi hawapend...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Instagram hapatoshi, anayejiita ze kingi of all sosho media in Tz anatumia nguvu nyingi sana kupinga matokeo ya ushindi wa tuzo za watu wa King Kiba kwa kutupilia mbali na kudharau taratibu za...
0 Reactions
577 Replies
50K Views
==== Kutohudhuria kwa Lady Jay Dee na Mzee Yusuph ============ Yaani hawa watu wawili wanadharau sana,tena huyu JIDE ndo haswaa kila mwaka siku ya tuzo haji anaagiza watu tu wamchukulie tuzo...
0 Reactions
687 Replies
106K Views
Sitaki kuamini kwamba Tuzo hizi zina upendelea. Naamini kwamba tuzo zimetokana na jitihada binafsi za washiriki. Binafsi ningependa kuwapa Pongezi za kutosha kwa viongozi wote wa #TeamKiba .
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…