Sikiliza nyimbo ya ACT inayofafanua vizuri malengo ya ACT.
ACT inandelea kukua na kuchapa kazi.
Muda ni huu wa kujiunga na chama kinachoipigania Tanzania bora...
Hawa EATV wana matatizo gani? Inakuwaje watangazaji wake wazuri na MaDJ zake wazuri wote wanakuwa poached na Kampuni nyingine..?
Kaondoka Adrian
Kaondoka Mafuvu
Leo kaondoka DJ D Ommy
Ile collabo mpya ya muimbaji wa Afrika Kusini, Donald na Diamond Platnumz ni mradi ambao Donald anauchukulia kwa uzito mkubwa, kiasi ambacho hajataka kuchelewesha sana mambo.
Baada ya kuingia...
Je,wewe ni kijana mwenye kipaji cha sauti?Je sauti yako inaweza kutumika kurekodi matangazo ya redio?Kama jibu ni ndio,basi jiandikishe nasi leo ili ushiriki usaili wa sauti kwa ajili ya...
Kuna kijana wangu anapenda sana music hasa wa gospel, tayari ameweza kuwa na nyimbo zake ambazo zinavutia, Sasa anatafuta promoter.
Nisaidieni
Natanguliza shukrani kwa niaba yake
Jamani, Ben Pol can sing.
Yani anasisimua sana na kipaji chake. Aliwahi kusema kati ya simu kumi anazopokea, nane ni za kuombwa kupiga chorus. Hao watu wanaona anavyoimba vizuri ndo maana...
Toka ajiite mwamba wa kaskazini, toka aseme hayupo next level Bali level yake mwenyewe....Joh Makini amekuwa akipanda siku baada ya Siku. Na siri kubwa ninayo iona Kwa Hawa weusi ni kwamba...
Jana nilikua mmoja kati ya Watanzania wachache tuliopata mualiko wa kuhudhuria ugawaji wa Tuzo za Kilimanjaro Music Awards. Kwanza niwapongeze Organization nzima ya KTMA wakishirikiana na...
read the full article here https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/868639-diamond-platnumz-assists-fellow-tanzanian-artists-to-the-next-level.html
The King Ally Kiba fans' special thread,
Tujumuike hapa (11,191) »( ... Last Page)
Diamond Platinumz fans' special thread: Njooni
tukutane hapa (4,735) »( ... Last Page)
hata kwa hili...
Msanii wa stand up comedy wa Uganda ameamua kuhamasisha vijana kujiandikisha kuweza kupiga kura 2016.
http://www.youtube.com/watch?v=svczp7WH9V0&sns=em
Huyu jamaa ni kiboko na ni mbunifu asiye na mpinzani na kanivutia mpaka siku hz nahudhulia kanisani kila juma pili kutokana na ubunifu wake wa kupiga kinanda kwa kutumia tune za za makabila na...
Habari wanajamvi,
Nimeguswa mno na hii hali ya utimu inayoendelea.
Nini chimbuko la hizi teams?
Nani ni mchochezi kati ya wahusika na mashabiki?
Wahusika wamewahi toa tamko lolote kuhusu...