Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wakuu naombeni kama naweza kukipata hiki kitabu
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wana MMU Naomba kwa anayefahamu wapi naweza kupata collection ya CD/DVD mp3,yenye zaidi ya nyimbo 200 za mapenzi(slow/RnB/Pop/Blues etc) na zisiwe za kibongo kabisaaa... Nipo...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
wakuu niwasumbue kidogo, ninautafuta wimbo wa zamani kidogo ''Moro yapendeza'' wa moro jazz band nimeshagoogle sana, lakini sijabahatika kuupatana.. Nitashukuru sana.
0 Reactions
12 Replies
14K Views
Sijui lakini kwa upande wangu naona kama hii video storyline yake haina pirpose vile, coz ukicheki unaona kama wazazi wanardi home wanakuta nyumba iko hovyo kutokana na nahisi ni watoto wao...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
wadau nipo jiji la kampala ni siku ya tatu sasa nipo hapa,si utani hawa kina sebho na nyabho wanajua kula maisha,kwa nilichoshuhidia kwa muda huu bongo tunasubiri
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hivi karibuni kuna msanii wa kike wa bongo fleva, alifungiwa kufanya au kushiriki shughuli yoyote ya mziki kwa mwaka mmoja na Baraza la Muziki la Taifa, kwa kile kilochosemekana eti alidhalilisha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ametoa tangazo Hilo wakati akipokea tuzo mojawapo ya MTV. Amesema atachukua uamuzi huo mwaka 2020. Akiri kutumia bangi. ZAIDI Gonga link ujisomee mwenyewe... Kanye West to vie for President...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mpenzi wa bia ya Tusker Njau Dismas (katikati) akitabasamu mara baada ya meza yake kufikiwa na zawadi ya mfuko wenye fulana na kalamu katika hafla ya kuipongeza baa ya Baracuda iliyopo Tabata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huku K WEST, Huku OMAR AL BASHIR! K. WEST ameshinda tuzo inayokwenda kwa jina: TUZO YA KAZI ZENYE MAFANIKIO, nchini MAREKANI, katika tuzo hiyo, WEST amepewa nafasi ya kusalimia watu waliojaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
https://youtu.be/WWAWQmhqWGo
0 Reactions
0 Replies
763 Views
SYLI CLASSIC: Official New Video:Yamoto Band - Cheza Kwa Madoido (Watch/Download HD)
0 Reactions
0 Replies
13K Views
naomba kama unazo uweke hapa hasa ule wa tumepata shujaa.
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Jamani naomc kujua wapi naweza kupata nyimbo za Msanii pete kama vile Nafasi yako na mazoea? Help me
0 Reactions
5 Replies
3K Views
* Talks Kendrick Lamar Vs Drake * Drake Vs Meek * Jay Z * NWA Movie * & More
0 Reactions
0 Replies
554 Views
* I feel Eazy E was not potrayed well in the Straight Outta Compton movie. I knew Eazy. * My 10m budget 'King of the South' biopic movie will be str8 real. Queen Latifa, Charlamagne, Romeo will...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
- Wakuu tunaendelea tena vipi hawa nao magwiji wa huko Zaire au Congo-Kinshasa, yaani Suveree Mukulu Jibe, Maison Mere Werason "Step-forward", na Kintonzengu Koffi Olomide vipi nao nani ni bingwa...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Mwenye wimbo wa harusi original kuacha uliorudiwa na Mr Paul,naomba auweke hapa,au ani Pm nimtumie no whatsapp.nitashukuru.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Husika na kicha cha habar hapo juu, naomba kwa mtu yoyote mwenye nyimbo za chadema ani inbox nimpe no, zang anitumie nikipata hata huo alioimba Henri Kileo wa M4c one ntashukur pia.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni mnielekeze ni program ipi nitaitumia tofauti na adobe photo shop kudizaini photo graphic,mfano kava za nyimbo na mengineyo ?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mteja wa bia ya Tusker Bi. Miriam Singo akiifurahia zawadi yake ya fulana aliyopewa kwenye hafla ya kuipongeza baa ya Havannah iliyopo Segerea mwisho jijini Dar es salaam. Bi Singo alijumuika na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom