Baa ya Baracuda, Tabata na Check Point ya Chanika washindi wa wiki fanyakweli kiwanjani

News TZ

Senior Member
Jun 17, 2015
103
50
5.jpg
Mpenzi wa bia ya Tusker Njau Dismas (katikati) akitabasamu mara baada ya meza yake kufikiwa na zawadi ya mfuko wenye fulana na kalamu katika hafla ya kuipongeza baa ya Baracuda iliyopo Tabata jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Nia ya kampeni hiyo ni kuhamasiha baa mbalimbali za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli wanapotoa huduma kwa wateja wao. (Kulia) ni Mshereheshaji wa kampeni hiyo Gadner Habash na kushoto ni balozi wa bia hiyo Veronica Mbilinyi.

1.JPG
Dj wa redio Efm, anayefahamika kwa jina la Dj Con akifungua burudani ya muziki ndani ya baa ya Baracuda iliyopo Tabata jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kuipongeza baa hiyo iliyoibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni inayoendelea ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani. Kampeni hii inaendelea mikoani pia ambapo itawafikia wakazi wa; - Arusha, Mbeya, Mwanza, Moshi na
Morogoro.

6.JPG
Mkazi wa Baracuda, Tabata Gaston Arbogasti akizungumza na mshereheshaji wa kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (kulia) kabla ya kukabidhiwa zawadi yake ya fulana na bia za bure katika hafla ya kuipongeza baa ya Baracuda iliyopo Tabata jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Kampeni hii inaendelea mikoani pia ambapo itawafikia wakazi wa; - Arusha, Mbeya, Mwanza, Moshi na Morogoro.

4.jpg
Mkazi wa Tabata Proper Maro (wa kwanza kulia) akipokea zawadi yake ya mfuko wenye fulana toka kwa balozi wa bia hiyo Veronica Mbilinyi (kushoto) wakati wa wa hafla ya kuipongeza baa ya Baracuda iliyopo Tabata jijini Dar es salaam ambapo promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani ilifunga kambi eneo hilo mwisho wa wiki iliyopita kuipongeza baa hiyo iliyoibuka mshindi wa wa shindano la Fanyakweli kiwanjani. (Katikati) ni Mshereheshaji wa promosheni hiyo na mtangazaji wa redio E-fm Gadner Habbash.

5.jpg
Mpenzi wa bia ya Tusker Daniel Mawi (31)(wa pili kulia) akizungumza na mshereheshaji wa kampeni ya Fanyakweli kiwanjani Gadner Habash (wa kwanza kulia) wakati kampeni hiyo ilipofunga kambi katika baa ya Check point Chanika kuipongeza baa hiyo iliyoibuka mshindi wa wiki kwenye shindano la Fanyakweli Kiwanjani linaloendeshwa na bia ya Tusker. Anayekabidhi fulana (wa kwanza kushoto) ni balozi wa bia ya Tusker Veronica Mbilinyi na wa pili kushoto ni mkazi wa Chanika ndugu John Abel.
 
Back
Top Bottom