Henri kileo M4C one

Henri kileo M4C one

Njema kabisa

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
699
Reaction score
238
Husika na kicha cha habar hapo juu, naomba kwa mtu yoyote mwenye nyimbo za chadema ani inbox nimpe no, zang anitumie nikipata hata huo alioimba Henri Kileo wa M4c one ntashukur pia.
 
Hujui kuwa M4C pamoja na BAVICHA ishamezwa na Wanaume 4U Movement? Sasahivi kuna nyimbo za 4U Movement tu..
 
kamanda ukizipata naomba unitumie na mimi!kwasasa nina wimbo mmoja ni-inbox no.yako nikutumie
 
Hujui kuwa M4C pamoja na BAVICHA ishamezwa na Wanaume 4U Movement? Sasahivi kuna nyimbo za 4U Movement tu..

Nitumie hata hizo za 4u movement dawa mtoke tu, ikimezwa si ndio furaha kwenu sasa unalialia nn we m4c? Kwel mnahangaika na bado
 
Back
Top Bottom