Wapi nitapata collection ya nyimbo za mapenzi(Slow music)

Wapi nitapata collection ya nyimbo za mapenzi(Slow music)

The Magnificent

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
2,694
Reaction score
1,250
Habari zenu wana MMU

Naomba kwa anayefahamu wapi naweza kupata collection ya CD/DVD mp3,yenye zaidi ya nyimbo 200 za mapenzi(slow/RnB/Pop/Blues etc) na zisiwe za kibongo kabisaaa...

Nipo Dar,

vilevile naweza kuwa na list ya nyimbo zangu nahitaji kuziburn kwenye CD

kijiwe gani ambacho nitapata service hii hapa bongo bila uswahili? Orodha ya majina ya nyimbo ninazotaka ninayo,pesa ninayo...ninachokikosa Ni nyimbo zenyewe...

Ahsanteni....


Wenu,

The Magnificent.
 
Google Mkuu watu tuko busy na lowasa hapa vijiwe tushafunga tunapiga kampeni
 
Back
Top Bottom